Baadhi ya Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu Kijanda wakielekea kuzika huko Kahangara Magu,
Polisi wakiweka chini jeneza la marehemu kabla ya mazishii
Robert Manumba (DCI) akitoa salamau za jeshi la polisi baada ya mazishi ya PC Kijanda aliuawa na jambazi kwa risasi
Jeneza lenye mwili wa marehemu Kijanda
Askari wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Kijanda
Askari
wa Jeshi la Polisi wakitoa heshima wakati wa mazishi ya askari mwenzao
marehemu PC Kijanda Mwandu, katika makaburi ya kifamilia eneo la
Kahangara, wilayani Magu, Mwanza juzi, Mwandu aliuawa kwa kupigwa
risasi shingoni na jambazi wakati akiwa katika harakati za kumkamata
Maaskari wakiushusha mwili wa maremhu PC Kijanda kaburini ,mazishi yaliyofanyika Kahangara Magu
Baadhi ya ndugu, jamaa wa marehemu wakiweka mashada juu ya kaburi la PC kijanda
Askari
wa Jeshi la Polisi wakitoa heshima wakati wa mazishi ya askari mwenzao
marehemu PC Kijanda Mwandu muda mfupi baada ya kuzikwa katika makaburi
ya kifamilia eneo la Kahangara, wilayani Magu, Mwanza.Picha na Mdau
Mashaka Baltazar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)