Waziri
asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Machano Othman Said akihutubia
wananchi na wanafunzi ambao hawapo pichani mara baada ya kuzindua
Jengo la Skuli ya Mtoni Kidemeni ikiwa ni shamra shamra ya Mapinduzi
ya Zanzibar
Wanafunzi
mbalimbali waliokuwa wakimsikiliza Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Zanzibar Machano Othman Said hayupo pichani katika uzindua wa Jengo la
Skuli hiyo ya Mtoni Kidemeni ikiwa ni shamra shamra ya Mapinduzi ya
Zanzibar.Picha na Idd Haji Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)