baadhi
ya wankamati waliokutana katika kikao cha mwisho kwaajili ya sherehe ya
kuwakaribisha mwaka wa kwanza wanaosomea fani ya sosholojia ya chuo
kikuu cha dodoma
Mwenyekiti
wa kamati ya usafiri Paul Madaha akiwasiliana na wahusika wanaotakiwa
kutoa usafiri katika sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza
itakayofanyika leo katika ukumbu wa royal village mjini dodoma
Wanakamati
Wakiwa busy kutafakari juu ya bajeti ya mwisho mwisho kabla ya sherehe
kufanyika.Kikao Hiki Cha Mwisho kilifanyika jana usiku katika chumba cha mihadhara namba 4 cha chuo kikuu cha dodoma kuanzia mida ya
saa moja hadi saa sita usiku yote ni kwaajili ya kufanikisha sherehe
hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)