Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwakilishi wa Baba wa Taifa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwakilishi wa Baba wa Taifa

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwakilishi wa Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere, Mama Maria Nyerere wakati wa sherehe ya kutunuku nishani iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages