Rais
Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki aliyemaliza
kufanya kazi nchini Dr. Sander Gurbuz aliyekwenda kumuaga leo Jumanne
Desemba 13, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
Kikwete akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(ADB) Bi. Tonia Kandiero aliyemtembelea leo Jumanne Desemba 13, 2011 na
kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)