Kocha
Mkongwe wa Mchezo wa ngumi, Habibu Kinyogoli (kulia) akiwaelekeza
mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa
mazoezi yao yanayoendelea katika Kambi ya Ilala kwa ajili ya kujiandaa
na mapambano yao yatakayofanyika kabla ya mchezo kati ya Matumla
na Osward, Desemba 25. Picha na R. Mhamila
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)