Afisa Semu Mwakyanjala.
Tim Hunt Reginal Manager Africa & Middle East
Mh Naibu balozi akitafakari Jambo.
Tim Hunt na Frank Eyembe.
Baraka Baraka Akifanya Mahojiano na afisa Semu |
Picha ya Pamoja Mh Balozi Kallaghe, Tim, Semu Naibu Balozi Chabaka na Allen.
Kutoka Kushoto Naibu Balozi Chabaka, Semu na Tim
----
Salaam,
Wakati wa kuazimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania hapa Jijini London Ubalozi wetu katika siku ya Ijumaa Tarehe 9 Desemba 2011 ulipata fursa pekee ya kukutana na kumpongeza afisa wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Ndg. Semu Mwakyanjala ambaye pia ni mwanafunzi wa shahada ya Pili( Masters Degree in Communication, culture & Media) katika chuo kikuu cha Coventry alieshinda tuzo ya kuandika insha kuelezea jinsi gani nchi ya Ujerumani itakavyokua mwaka 2051.
Aidha
Mh. Balozi Kallaghe alimpongeza sana Afisa Semu kwa juhudi zake kwa
kufanikiwa kushinda tuzo hii na kuiletea heshima Tanzania Ughaibuni na
kuwahamisisha watanzania wote kusoma na kufanya kazi kwa bidii zaidi.
Wakati akiongea na waandishi wa Habari afisa Semu alianza kwa kutoa
shukrani kwa familia yake, wafanyakazi wenzake kutoka TCRA na Rais wa
Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa kumwezesha kufikia hatua aliyopiga
leo.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Miss Jestina Blog
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Miss Jestina Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)