If you would like to buy and
sell anything from Swahili Fashion week 2011, you can definetily get It from
the Shopping Festival during and After the event,
SO IF YOUR INTERESTED TO HAVE PLACE TO SELL ANYTHING DURING THE SWAHILI FASHION WEEK EVENT PLEASE BOOK AND LEASE YOUR PLACE NOW.
For more information please call:
Hamis K Omary
Kama utapenda kununua au kuuza kitu
chochote kutoka Swahili Fashion Week, unaweza kufanya hivyo kupitia eneo la
manunuzi wakati na baada ya maonesho,
KWAHIYO KAMA UTAPENDA KUPATA NAFASI
YA KUUZA VITU WAKATI WA MAONESHO YA SWAHILI FASHION WEEK TAFADHALI HIFADHI
NA TENGENEZA ENEO LAKO SASA.
Kwa maelezo zaidi piga kwa:
Kwa maelezo zaidi piga kwa:
Hamis K Omary
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)