Rais Jakaya Kikwete Akutana na Balozi wa Shirikisho la Urusi ikulu Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete Akutana na Balozi wa Shirikisho la Urusi ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation) Bw. Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana  na kuongea nae leo Ikulu jijini Dar es salaam. Katikati ni mkalimani Bw Nikita Rassokhin.Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages