Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia
baada ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji katika
kijiji cha Mariwanda wilayani Bunda akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara,
Septemba 19,2011 .
Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akisalimiana na wazee baada ya kufungua zahanati ya Sarawe
Wilayni Bunda akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara, Septemba 19,2011.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)