Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Marta Santos Pais, Mwakilishi maalum wa Katibu wa Umoja
wa Mataifa anayehusika na harakati za kutokomeza unyanyasaji wa watoto,
wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam kwa ajili ya
mazungumzo kuhusu ripoti ya unyanyasaji wa watoto inayohusu hali ya
Tanzania na inayotarajiwa kuwasilishwa rasmi hivi karibuni.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)