WASANII WA TMK WANAUME CHEGE NA TEMBA WATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASANII WA TMK WANAUME CHEGE NA TEMBA WATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA




   
Wasanii wa kundi la wanaume TMK Chege na Temba wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipotembelea katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza jijini London kabla ya kumaliza show zao nchini humo siku chache zilizopita.

Vilevile waliweza kutembelea idara mbalimbali na kujionea jinsi gani Ubalozi wetu hapo jijini  London unavyofanya kazi hususani katika idara nyeti ya Uhamiaji inayoongozwa na ofisa Ambokile na Kupiga Picha za pamoja wakiwa na Mh Naibu Balozi Mh Chabaka Kilumanga Pamoja na baadhi ya maofisa wa Ubalozi.
Naibu Balozi Mh Chabaka Kilumanga, akiwa na wasanii hao ofisini kwake.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages