Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Profesa
Jumanne Maghembe akinunua sukari ya kilombero katika Soko la Kipati,
Mbagala Jijini Dar es Salaam Jana.Sukari hiyo ilikuwa ikiuzwa Shilingi
1,900 kwa kilo moja.
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Profesa
Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa Bwana Harshid Chavda
mwakilishi wa Kiwanda cha Sukari Kilombero kuhusu kiwango cha
uzalishaji kwa siku na kiasi kinachouzwa kwa wasambazaji katika Mkoa wa
Dar es Salaam kwa kila siku wakati Waziri alipofanya ziara ya dharura
katika ofisi za kiwanda hicho,Gerezani Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)