Rais wa
Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akiwapungia mkono wananchi wa Gandoalipofika katika skuli ya
kijiji hicho, alipofanya ziara maalum ya kuwapa pole
wafiwa katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander,hivi karibuni.
Wananchi
wa kijiji cha Gando wakimsikiza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed
Shein,alipofika kuwapa pole ,kwa kufiliwa na jamaa zao waliofariki kwa
ajali ya meli Mv Spice islander hivi karibuni,Mazungumzo na wananchi hao
yalifanyika katika skuli ya sekondari ya Gando Wilaya ya Wete,Pemba.
Wananchi
wa kijiji cha Bopwe wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, wakimsikiza
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,alipofika kuwapa pole ,kwa
kufiliwa na jamaa zao waliofariki kwa ajali ya meli Mv Spice islander
hivi karibuni,Mazungumzo na wananchi hao yalifanyika katika skuli ya
Pobwe Wete Pemba, wilaya ya Wete,Pemba.
Miongoni
mwa Wazee waliofiliwa na jamaa,ndugu na watoto wao katika shehia ya
Gando wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
aklipofika kuwapa pole kutokana na ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice
Islander,iliyozama hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi.
Picha
na Ramadhan Othman Pemba.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)