Rais Jakaya
Kikwete akipongezwa na Mkurugenzi wa miradi ya afya wa taasisi ya
Miracle Corners, Dk. Marion Bergam na wajumbe
wengine wa mkutano wa kwanza wa magonjwa yasiyoambukiza duniani
uliofanyika Chuo Kikuu cha New York, Marekani.
Mkutano huo ulidhaminiwa na Serikali ya Tanzania. (Picha na Ikulu).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)