Semina ya tabaka la Ozoni mwishoni mwa wiki Arusha - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Semina ya tabaka la Ozoni mwishoni mwa wiki Arusha

Bw. Erasto Mosha, Mwalimu kutoka chuo cha VETA Moshi, akitoa maelezo akiwa ameshilikia kifaa cha kutambua gesi haribifu kwa Mazingira na Tabaka la Ozoni katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya hifadhi ya Tabaka la Ozoni yaliyofanyika kitaifa Mjini Arusha, Mwishoni mwa wiki, (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages