KASEBA ATAMBA KUMCHAPA MTAMBO WA GONGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KASEBA ATAMBA KUMCHAPA MTAMBO WA GONGO

Bondia, Japhet Kaseba akiwa katika mzoezi makali kwenye Kambi yake iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam, akijiandaa na pambano lake la kirafiki na Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo', linalotarajia kufanyika mwanzoni mwa mwezi ujao.
Kaseba, akiendelea na mazoezi kambini kwake.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages