Waziri Mkuu Pinda atembelea Bitiama - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Pinda atembelea Bitiama

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Kasome wilaynai Musoma Vijijini baada ya kufungua bwni hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili Nyumbani kwake Mwitongo Butiama akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiam Septemba 18, 2011. Picha Na PMO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages