Mchujo waSwahili Fashion Week wanyanyika - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mchujo waSwahili Fashion Week wanyanyika


 Baadhi ya wanamitindo waliofikika katika mchujo wa kutafuta Models watakaoshiriki kuonesha mavazi ya Swahili Fashion Week.
 Vijana watanashati waliojitokeza katika mchujo huo wakipozi kwapicha.
 Top Model wa Miss Tanzania Mwajabu Juma nae akipiga picha katika bango la Swahili Fashion Week.
Warembo wakijisajili kwaajili ya mchujo waSwahili Fashion Week jana katika Hotel Southen Sun jijini Dar es Salaam September 18,2011.
Jopo la majaji walioshiriki katika mchuo huo wa Swahili fashion week ambapo zaidi ya Models 400 walijitokeza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages