Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama
Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wake aliowafundisha shule ya
msingi Mbuyuni Mhe. Muhonga Ruhwanya mara baada ya wabunge hao ambao
ni wanachama wa CWP kufanya ziara yao WAMA leo. Mhe. Muhonga hivi sasa
ni Mbunge wa Viti maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania
Mke wa Rais na Mwenyekiti
wa WAMA Mama Salama Kikwete akiwaonesha Maazimio ya mkutano wa chama
cha wabunge wananwake wa Jumuiya ya Madoloa CWP kanda ya Afrka
Mashariki mara baada ya kumkabidhi leo Ofisini kwake.
Wajumbe wa CWP walifanya ziara katika Ofisi za WAMA kwa lengo la
kusalimiana na Mama Salma Kikwete
Credits: Full Shangwe Blogu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)