Profesa Mwandosya akionekana mwenye furaha
baada ya kutembelewa na Maali Seif
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad (wa tatu kushoto)akiwa na Waziri wa
Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Profesa Mark Mwandosya
(kushoto) alipokwenda kumjulia hali katika Hospitali ya Apollo, India
alikolazwa kwa matibabu. Hamad ambaye yupo India kikazi alifuatana na
baadhi ya mawaziri na viongozi wa Serikali ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)