Rais Dkt Jakaya Kikwete awasili New York kushiriki katika Mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Dkt Jakaya Kikwete awasili New York kushiriki katika Mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika hoteli ya Jumeirah Essex House jijini New York Marekani Jumapili tayari kwa mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa,
hapa anaonekana katika picha akipokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt Rachel Mhaville ambaye ni daktari bingwa wa meno ya watoto.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Bukombe (CHADEMA) Prof. Kulikoyela Kahigi ambaye pamoja na Mbunge wa Liwale (CCM) Mh Faith Mitambo (wa pili kulia) ameongozana nao kuhudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa mataifa
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mwambata wa Jeshi katika ubalozi wa tanzania umoja wa Mataifa Kanali Wilbert Ibuge.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha maandalizi kwa ajili ya mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa (Picha kwa hisani ya Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages