Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema
Freeman Mbowe (kulia) akionyesha ishara ya kumwombea kura mgombea
udiwani kata ya Gangilonga jimbo la Iringa mjini Edwin Sambala wakati
akijinadi kwa wananchi leoMbowe
akiwaaga wananchi wa kata ya Gangilonga baada ya kumaliza kumwombea
kura mgombea wa kata ya Gangilonga na Kitanzini jimbo la Iringa mjini.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe.Mbowe
kati kati na mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akiwa na
katibu wa Chadema wilaya ya Iringa mjini Susana Mgonakulima
Wananchi kiduchu wa kata ya
Gangilonga wakimsikiliza Mbowe jana
MWENYEKITI wa Taifa wa chama cha
Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe awataka wananchi wa kata
ya Gangilonga na Miyomboni Kitanzini katika jimbo la Iringa mjini
kutotishwa na viongozi wa serikali na badala yake kuchagua madiwani wa
Chadema ili kuwatumikia vema wananchi badala ya madiwani wa chama cha
mapinduzi (CCM) ambao wapo kwa ajili ya kuwakilisha mafisadi.
Kwa Picha Zaidi Na Credits BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)