Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye utiaji saini
mkataba wa miradi ya Makaa ya Mawe ya Mchuchuma na Chuma cha Liganga,
baina ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC) na kampuni ya Sichuan
Hongda Corporation Ltd ya nchini China, uliofanyika kwenye ukumbu wa
Mlimani City Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini katika Bendera maalum ya kumbukumbu ya watu wa China, wakati Mwenyekiti wa Bodi ya NDC, Christant Mzindakaya (kulia) na Mwenyekiti
wa Bodi ya kampuni ya Sichuan Hongda Corporation Ltd ya China, Liu
Canglong, (kushoto) wakisainiana mkataba wa miradi ya Makaa ya Mawe ya
Mchuchuma na Chuma cha Liganga katika ukumbi wa mlimani City jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) akishuhudia zoezi la utiaji saini mkataba wa miradi ya Makaa
ya mawe ya Mchuchuma na Chuma cha Liganga, baina ya Shirika la
Maendeleo ya Taifa (NDC) na Kampuni ya Sichuan Hongda Corporation Ltd ya
China, wakati Mwenyekiti wa Bodi ya NDC, Christant Mzindakaya na
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni hiyo, Liu Canglong, wakisainiana mkataba
huo katika ukumbi wa mlimani City jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) akishuhudia zoezi la utiaji saini na kubadilishana mkataba
wa miradi ya Makaa ya mawe ya Mchuchuma na Chuma cha Liganga, baina ya
Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC) na Kampuni ya Sichuan Hongda
Corporation Ltd ya China, wakati Mwenyekiti wa Bodi ya NDC, Christant
Mzindakaya na Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni hiyo, Liu Canglong,
wakisainiana mkataba huo katika ukumbi wa mlimani City jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa
(NDC) Christant Mzindakaya, nje ya ukumbi wa Mlimani City.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Sichuan
Hngda Corporation Ltd, Liu Canglong, baada ya kuhudhulia zoezi la utiaji
saini mkataba wa miradi ya Makaa ya Mawe ya Mchuchuma na Chuma cha
Liganga.
Kutoka Kulia, Ni Deo Filikunjombe, Zitto Kabwe na mhamud Mgimwa, ambao ni miongoni mwa wajumbe, wakiwa katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)