Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama
akimwombea kura Dk. afumu kwa wananchi wa Itumba katika mkutano wa
kampeni uliofanyika katika kata hiyo
Katibu Mkuu wa CCM Mukama
akizungunza katika mkutano wa wanakijiji cha Chagana
Mratibu wa Kampeni za CCM,Mwigulu
Nchemba akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Geofrey
Kahindye(kulia)aliyehamia CCM katika mkutano wa Kampeni , Itumba Watu wakiwa wamefurika katika mkutano ya kampeni
uliofanyika Itumba kijijini kwa Dk. Kafumu
Mwamuziki mahiri wa siku nyingi Mhina Panduka
'Toto Tundu' akiimba na kundi la TOT wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika Itumba. Kushoto ni Mwigulu
Wazee Jumanne Abdallah (88) na
Paul Kashinde (82) wa Ngazi wakionyeshana picha ya mgombea wa CCM Dk.
Kafumu
Vijana wa Itumba wakiwa na picha
ya Dk. Kafumu wakti wakiingia kwenye mkutano uliofanyika katika kata
hiyo.
Watu wakiwa wamefurika katika
mkutano ya kampeni uliofanyika Itumba kijijini kwa Dk. Kafum.Picha Zote
na Mdau Bashir Nkromo-igunga
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)