ZANTEL YAKABIDHI LUNINGA KUBWA KWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZANTEL YAKABIDHI LUNINGA KUBWA KWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ZANZIBAR

Meneja Mahusiano ya Serikali wa Zantel, Charles Jutta (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad  luninga ambazo zitafungwa kwenye chumba cha kupokea wageni rasmi na chumba cha wanaosafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wakati wa hafla fupi iliyofanyika mjini Zanzibar juzi. Msaada huu ni sehemu ya mchango wa Zantel wa mradi unaoendelea wa kisasa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar.Habari Kwa Hisani Ya Daily Mitikasi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages