WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA (CPAPD) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA (CPAPD)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Makamu Mwenyekiti wa - National Committee of the Chinese People's Political Consultative Conference baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Makamu Mwenyekiti wa - National Committee of the Chinese People's Political Consultative Conference baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma, Augost 19, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages