Muheshimiwa
Barozi wa Zambia Nchini Malaysia akiwa anatia sahihi wakati akiingia
katika Hafla Fupi ya Chakula Cha Jioni kuwasaidia watoto wa Swaziland
ambao wanapata shida ya Njaa na Uathirika wa Ugonjwa wa Ukimwi
Mkuu
wa Haki za Binadamu Pia alipata nafasi ya Kuongea na alizungumzia juu
ya umuhimu wa haki sawa kwa watoto na watu wote kwa ujumla na
kuwapongeza waandaaji wa Chakula cha jioni kuwasaidia watoto
huko Swaziland
Fredy
Tony Njeje Mwandishi na msimamizi mkuu wa Latest News Tz akiwa
anasikiliza kwa umakini wakati viongozi mbali mbali walipokuwa wakisema
maneno machache wakati wa Chakula cha jioni kuwasaidia watoto wanaoishi
maisha magumu na waathirika wa UKIMWI ambapo Latest News Tz tulipata
Mwaliko Maalum kabisa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)