Waziri Wa Mambo Ya Ndani Nchini Aelezea Mafanikio ya Wizara Yake Kwa Kipindi Cha Miaka 50 Tangu Uhuru - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Wa Mambo Ya Ndani Nchini Aelezea Mafanikio ya Wizara Yake Kwa Kipindi Cha Miaka 50 Tangu Uhuru


Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Mh Shamsi Vuai Nahodha akizungumza na Waandishi wa Habari Kuhusu Mafanikio ya Wizara yake katika Kipindi Cha Miaka 50 Tangu Tanzania ipate Uhuru,ambapo amesema wizara yake inatekeleza inatekeleza jukumu la Kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Sambamba na Kukabiliana na Changamoto Mbalimbali zinazoikabili zikiwemo Ucheleweshwaji wa Upelelezi wa Kesi na Upandishwaji wa Vyeo kwa askari ambapo amesisitiza wanafanyia kazi kwa kuimarisha mafunzo ya Upelelezi ndani na Nje ya Nchi pamoja na Kuboresha Mazingira ya Kazi na Askari

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages