Mke
wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na
Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akipokea mfano wa hundi ya
shilingi milioni 10 kutoka kwa Mark Wiessing ambaye ni Afisa
Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB katika ofisi za WAMA Ikulu jijini Dar
es Salaam leo.Fedha hizo zitatumia kwa ajili ya miradi ya uwezeshaji
wa wanawake.
Mke
wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo
(WAMA) Mama Salma Kikwete akimuonyesha kabrasha lenye kazi mbalimbali
za WAMA Mark Wiessing ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB
katika ofisi za WAMA Ikulu jijini Dar es Salaam leo mara baada ya
kukabidhi hundi ya shilingi milioni 10. Fedha hizo zitatumia kwa
ajili ya miradi ya uwezeshaji wa wanawake.
Mke
wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo
(WAMA) Mama Salma Kikwete akimuelezea Mark Wiessing ambaye ni Afisa
Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB kazi mbalimbali zinazofanywa na taasisi
hiyo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo . Benki ya NMB
imeichangia taasisi hiyo shilingi milioni 10 fedha ambazo zitatumia
kwa ajili ya miradi ya uwezeshaji wa wanawake.
Picha na Anna Nkinda - Maelezo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)