WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA MAONYESHO YA NANE NANE MOROGORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA MAONYESHO YA NANE NANE MOROGORO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua nyanya wakati alipotembelea banda la Water for the Third World katika Kilele  cha  maonyesho ya wakulama Nanenane kwenye uwanja wa Mwalimu  J. K. Nyerere Mjini Morogoro jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza mtoto, Oliver Stephene (9)  wakati alipokuwa akitembelea mabanda kwenye Kilele cha  Maonyesho ya Wakulima Nanenane wa Mwalimu J. K. Nyerere Mjini Morogoro jana. PICHA ZOTE/OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages