WAZIRI MKUU AZINDUA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI MEDELI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU AZINDUA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI MEDELI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akikata utepe kuzindua ujenzi wa nyumba za makazi za MEDALI, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof, Anna Tibaijuka, Picha na Mwnakombo Jumaa-MAELEZO
Baadhi ya Wazee wa mji wa Dodoma wakifurahia hotuba ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) alioitoa wakati akizindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba za  makazi ziliopo MEDALI Dodoma.
Wasanii wa kikindi cha Mjomba Band wakitumbuiza katiak sherehe hiyo ya Uzinduzi rasmi wa ujenzi wa nyumba za makazi za MEDALI Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati) akitembelea ujenzi wa nyumba za makazi za Medeli,Dodoma baada ya kuzindua rasmi ujenzi huo leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC)Nehemia Mchechu,akifuatiwa na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof, Anna Tibaijuka na kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Eng,Kesogukewele akifuatiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Anne Makinda.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages