Maafisa
wa Jeshi la Wananchi wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Luteni
Jenerali Silas Mayunga kuelekea kaburini tayari kwa mazishi
yaliyofanyika Agosti 12, 2011 Nyumbani kwake Maswa Mkoani Shinyanga na
kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwepo Rais Jakaya Kikwete.
Maafisa kutoka Jeshi la Wananchi wakishusha jeneza lililohifadhi mwili wa Marehemu Luteni Jenerali Silas Mayunga kaburini.
Rais
Jakaya Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji waliohudhuria mazishi ya
marehemu Luteni Jenerali Silas Mayunga nyumbani kwake huko Maswa mkoani
Shinyanga.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Salama Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la Luteni Jenerali Silas Mayunga.
Picha Kwa Hisani Ya Father Kidevu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)