Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akizungumza na waandishi wa habari katika mji wa Chalizne
Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea
mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu
ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. Warembo hao 30 walisimama kwa muda
Chalinze kusalimiana na wananchi.
Baadhi
ya washiriki shindano la kumsaka Voacom Miss Tanzania 2011, wa kipiga
picha na kusalimiana na vijana wa Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoani
Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini
kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa
ndani nchini.Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na
wananchi.
Warembo
wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto
Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini
kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa
ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
Baadhi
ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa wenye
furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana
wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea
Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
Picha zote na mpiga picha wa Vodacom
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)