Waziri
wa Nishati na Madini, William Ngeleja, akiingia kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma leo wakati akiingia bungeni kuwakilisha Makadirio na
Mapato na matumizi ya wizara yake leo
Mbunge
wa Bumbuli, January Makamba, akichangia Makadirio ya Matumizi ya Wizara
ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2011-2012, wakati wa
kuwasilishwa kwa bajeti hiyo kwa mara ya pili Bungeni mjini Dodoma leo
baada ya bajeti hiyo kukataliwa wakati ikiwasilishwa kwa mara ya kwanza
bungeni hapo.
Mbunge
wa Same mashariki Anne Kilango Malecela akichangia wakati wa kupitishwa
kwa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini Bungeni mjini Dodoma leo.
Msemaji
wa kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (kushoto) akijadiliana
jambo na mbunge wa Ubungo (CHADEMA) John Mnyika, wakati wa majadiliano
ya kupitisha hoja ya Makadirio na Mapato na Matumizi ya Wizara ya
Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2011-2012 Dododma Jana
.Picha Zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)