"HADI
KIELEWEKE JAMANI AU VIPI" Mwenyekiti wa wafanyakazi wa kiwanda cha
kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron Steel, Raina Mwanyamba,
akizungumza wakati wa mkutano wa kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai
nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufuatwa kwa
taratibu za kazi.
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel, wakianyika leo mchana.
Mmoja ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel Omari Salumu, akichangia mawazo katika kikao.
Baadhi
ya wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron
steel, wakiangalia makabrasha mbalimbali kabla ya kuanza kwa kikao chao
cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo
wafanyakazi 207 wamefukuzwana uongozi wa kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)