Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania, Edmund Mndolwa, akimkabidhi zawadi ya mchoro wa Gofu la mji wa Zanzibar
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Kenya, Peter Muthoka, wakati
wa hafla ya kuwaaga baadhi ya Wakurugenzi wa benki hiyo iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
wa Masoko na Mahusiano wa KCB Tanzania, Christine Manyenye, akielezea
moja ya zawadi ambayo alikabidhiwa mmoja ya Wakurugenzi wa benki hiyo
wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya wakurugenzi wa benki jijini Dar es
Salaam.
Wenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania akiwa na Baadhi ya
Wakurugenzi wa benki hiyo katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya
kuwaaga baadhi ya wakurugenzi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Kenya, Peter
Muthoka (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Tanzania,
Edmund Mndolwa na Mkurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania, Joram Kiarie,
wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya Wakurugenzi
wa benki hiyo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)