Mshiriki
wa Vodacom Miss Tanzania Zelulia Manoko,akizungumza baada ya kufika
katika lango kuu la kuingilia hifadhi ya taifa ya Tarangire mkoani
Manyara jana na kujionea wanyama wa aina mbalimbali. Warembo hao wapo
Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii
wa ndani kwa watanzania. Katika hatua nyingine leo Miss Photogenic
anataraji kutangwazwa na kujipatia tiketi ya kuingia katika nusu fainali
ya shindano la Vodacom Miss Tanzania. Miss Photogenic atakuwa ni mrembo
wa pili kuingia katiak hatua hiyo ya 15 bora baada ya Top Model
Warembo
wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa katika hifadhi ya taifa ya
Tarangire mkoani Manyara jana walipjwenda kujionea wanyama na vivutio
mbalimbali vya utalii katika hifadhi hiyo ya tano kwa ukubwa nchini.
Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na
kuhamasisha utalii wa ndani kwa watanzania. Katika hatua nyingine leo
Miss Photogenic anataraji kutangwazwa na kujipatia tiketi ya kuingia
katika nusu fainali ya shindano la Vodacom Miss Tanzania. Miss
Photogenic atakuwa ni mrembo wa pili kuingia katiak hatua hiyo ya 15
bora baada ya Top Model.
(Picha na Father Kidevu Blog).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)