Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifuatilia mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa SADC
uliofungiliwa leo Nchini Angola.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Mfalme wa Mswati wa Swaziland wakati
walipokutana kwenye Ikulu ya Angola.Viongozi hao wapo nchini humo
kuhudhuria mkutano wa Viongozi wa Nchi wanachama wa SADC ulioanza leo
mjini Angola
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai wakati
walipokutana kwenye Ikulu ya Angola.Viongozi hao wapo nchini humo
kuhudhuria mkutano wa Viongozi wa Nchi wanachama wa SADC ulioanza leo
mjini Angola
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal,
akikagua gwaride la Majeshi ya Angola alipowasili uwanja wa ndege wa
Nchio hiyo kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa wakuu wa Nchi wanancha wa
SADC.
Habari kwa hisani ya Jiachie Blog
Habari kwa hisani ya Jiachie Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)