Basi
la kampuni ya Sabco linalofanya safari zake Mbeya-Dar, lililokuwa
likitoka Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, kuja jijini Dar es Salaam
limepata ajali eneo la Tanangozi wilaya ya Iringa vijijini baada ya
tairi la basi hilo kupasuka.
Imeelezwa kuwa katika ajali hiyo abiria kadhaa wamejeruhiwa.
Mmoja
wa abiri aliyekuwa akisafiri na Basi hilo, akijaribu kutafuta
mawasiliano ya simu ili kutoa taarifa kwa ndugu na jamaa baada ya ajali
hiyo.Picha Na Habari Kwa Hisani Ya Sufiani Mafoto
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)