Waziri Mkuu
Mizengo Pinda akisalimiana na Makatibu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania
(UWT) wa kata za Mkoa wa Mtwara kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalumu kutoka mkoa huo, Anastazia
Wambura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)