WAREMBO WA KINYANGANYIRO CHA VODACOM MISS TANZANIA 2011 WAINGIA KWENYE VODACOM HOUSE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAREMBO WA KINYANGANYIRO CHA VODACOM MISS TANZANIA 2011 WAINGIA KWENYE VODACOM HOUSE

Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwakaribisha mshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, Mariaclara Mathayo katika Jumba la Vodacom ambalo litatumika katika kipindi chote cha warembo wakiwa kambini. Katikati ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandaaji wa Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga. Warembo hao wameingia katika Jumba hilo Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akimkaribisha mshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, Loveness Flavian katika Jumba la Vodacom ambalo litatumika katika kipindi chote cha warembo wakiwa kambini. Katikati ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandaaji wa Vodacom Miss Tanzania, Hashim Lundenga. Warembo hao wameingia katika Jumba hilo rasmi Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages