Dala dala za mbeya zimepandisha nauli kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi kituo sababu ni kukosekana huduma ya mafuta katika vituo vyote vya mbeya |
Hiki ni kituo cha mafuta cha BP Mbeya toka juzi wanasema hawana mafuta.Picha Zote Na Mdau Mbeya Yetu Blogu |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)