URBAN PULSE CREATIVE inawaletea cinema
fupi inayoitwa KARMA. Sinema hii fupi ilitengenezwa na Baraka Baraka
Kutoka Urban Pulse wakati wa masomo kama assignment ya mwaka wa kwanza
katika chuo kikuu cha DE MONTFORT hapa mjini Leicester mwaka 2007
ambapo kila mwanafunzi alitakikana kutengeneza stori yenye kueleweka
chini ya dakika Nne bila kutumia maneno bali ni vitendo tu.
Maudhui ya Sinema hii yametokana na misingi ya Dini ya Kihindu yakimaanisha kwamba kila Tendo lifanywalo huwa na madhara yake. Kwa lugha nyingine inamanisha kuwa Ukianzisha balaa, balaa litakurudia hivyo ni vizuri tukawa tunafikiria mara mbili mbili kabla hatujafanya maamuzi magumu.

Kutoka kushoto ni BAraka Baraka akiwa na Frank Eyembe wa Urban pulse
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)