Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijibu majibu ya masuali ya papo kwa papo Bungeni Aug,11,2011,
Waziri
wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt, William Nchimbi (kushoto)
wakijadiliana na Naibu wake Dkr. Fenella Mukangara wakati wa majadiliano
ya Hotuba y makadirio ya mapato na matumizi yaa Wizara yao kwa mwaka wa
fedha 2011-2012,
Waziri
Kivuli kambi ya upinzani wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Joseph Mbilinyi akiwasilisha hotuba yake ya wizara hiyo ya
makadirio ya mapato na matumizi katika kipindi cha mwaka 2010-2012 mjini
Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa DR, Asha -Rose Migiro akipokea zawadi
kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Job Ndugai,
Baadhi
ya wakuu wa Idara na Taasisi ziliopo chi ya Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo wakifuatilia Hotuba ya Makadirio na Mapato ya
Matumizi ya Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2011-2012 Bungeni
Aug.11,2011-
Baadhi
ya wakuu wa Idara na Taasisi ziliopo chi ya Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo wakifuatilia Hotuba ya Makadirio na Mapato ya
Matumizi
Naibu
Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dr, Asha Migiro akisalimiana na Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Job Ndugai alipowasili ofisini
Bungeni Dodoma na kufanya mazungumzo nae, (AUG, 11-2011).
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)