Mwenyekiti wa Baraza la Michezi la Taifa (BMT), akizungumza jana mchana katika ufunguzi rasmi wa kambi ya mchezo wa Tennis, katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam jana. Kanali kipingu alisema kuwa hakuna namna nyingine ya kupata wachezaji bora na timu bora zidi ya kuwekeza michezo kwa watoto. Hivyo alitoa ushauri kwa Serikali na wadau wapenda michezo kuelekeza nguvu zao katika kuibua na kukuza vipaji vya michezo vya watoto. Meneja Uendeshaji wa kampuni ya Tanga Cementi,Erick Westerberg,akielezea kwa waandishi wa habari jana mchana katika viwanja vya Gymkhana, namna kampuni hiyo ilijidhatiti kudhamini kambi ya watoto wadogo wachezaji wa mpira waTennis. Westerberg alisema kuwa Simba Cement, imeamua kudhamini ´kambi ya mchezo huo kwa lengo la kukuza vipaji vya watoto na kwa kuthamini umuhimu wa michezo nchini hususani kwa rika la vijana na watoto.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)