Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali
Mohamed Shein,akisalimiana na wazee,pamoja na wananchi wa kijiji cha
Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kufutari pamoja na wananchi
hao katika futari maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya
Mkanyageni.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali
Mohamed Shein,akiwa katika futari na wananchi wazee wa kijiji cha
Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli
ya Mkanyageni.
Baadhi
ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wa Kijiji cha Mkanyageni
na vitongoji vyake,wakifutari pamoja na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohamed Shein, katika
viwanja vya Skuli ya Mkanyageni, na zaidi ya wananchi.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zazibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)