FFU Kuvamia Mji wa Aschweiler - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FFU Kuvamia Mji wa Aschweiler


Bendi Maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU,
wanatalajiwa kutumbuiza katika onyesho lingine kubwa la wazi mjini Aschweiler,nchini
Ujerumani siku ya jumamosi 20.08.2011 saa 12.00 jioni. Maporomota wa muziki huko ughaibuni wamehamua kuifanya kweli kwa bendi maarufu ya Noma Africa kwa kuipangia ratiba ya maonyesho bila kupumua !

Ras Makunja na kikosi kazi chake Ngoma Africa band aka FFU wamejikuta wapo katika
kibarua sugu cha kuwapa burudani kamili wapenzi wa muziki katika kila kona huko ughaibuni.

FFU kwa sasa wanatamba na nyimbo mbili mpya "Bongo Tambarare " na "Supu ya Mawe"
wasikilize at 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages