Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu
Balozi George Nhigula wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana jioni.Marehemu Balozi
George Nhigula alifariki tarehe 13 mwezi huu katika hospitali ya
Magomeni mikumi alipokuwa anapatiwa matibabu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la
marehemu Balozi George Nhigula wakati wa mazishi ya Balozi huyo
yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jana
jioni.Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)