Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud akizungumza
leo na Makamanda pamoja na Maofisa mbalimbali hawapo pichani kuhusu
mikakati ya kupambana na uhalifu nchini katika kituo cha Polisi Madema
Zanzibar kulia kwake ni Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa
Kamishna
wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamo wa Pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd aliyeko Kushoto
kuzungumza na Makamanda pamoja na Maofisa mbalimbali hawapo pichani
kuhusu mikakati ya kupambana na uhalifu nchini katika kituo cha Polisi
Madema kuliani kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa
Rais
Makamanda
na Maofisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi ambao walihudhuria Mkutano
wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa
Rais Moh'd Aboud Moh'd hayupo pichani alipokuwa akielezea mikakati ya
kupambana na uhalifu Zanzibar.Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)